Nenda kwa yaliyomo

1 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Januari 1)
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 1 Januari ni siku ya kwanza ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 364 (365 katika miaka mirefu).

MwakaTukio
1956Nchi ya Sudani inapata uhuru kutoka Misri na Uingereza
1984Nchi ya Brunei inapata uhuru kutoka Uingereza
1993Nchi ya Chekoslovakia inagawanywa kuwa nchi huru mbili, Ucheki na Slovakia


Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]
MwakaTukio
1431Papa Alexander VI
1638Go-Sai, mfalme mkuu wa Japani (1654-1663)
1909Shaaban Robert, mshairi wa Kiswahili kutoka Tanzania
1911Audrey Wurdemann, mshairi kutoka Marekani
1941Martin Evans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
1941Evaristo Marc Chengula, askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya, Tanzania
1950Mudhihir Mohamed Mudhihir, mwanasiasa wa Tanzania
1953Alpha Blondy, mwanamuziki kutoka Cote d'Ivoire
1954Sigfrid Selemani Ng'itu, mwanasiasa wa Tanzania
1960Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio kutoka Tanzania
1962Richard Roxburgh, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
1992Jack Wilshere, mchezaji mpira kutoka Uingereza


Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]
MwakaTukio
379Mtakatifu Basil wa Caesarea, askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Uturuki
1954Leonard Bacon, mshairi kutoka Marekani
1995Eugene Wigner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
2008Lucas Sang, mwanariadha wa Kenya
Maelezo
Katika nchi nyingi tarehe 1 Januari ni sikukuu ya Mwaka Mpya
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, siku hii ya nane baada ya Krismasi, kwa kukumbuka tohara ya Yesu aliyofanyiwa siku hiyo, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Justini wa Chieti, Almaki wa Roma, Eujendo wa Condat, Fuljensi wa Ruspe, Kyaro, Frodobati, Wiliamu wa Dijon, Odilo wa Cluny, Zdislava, Yosefu Maria Tomasi, Vinsenti Maria Strambi, Sigimundi Gorazdowski n.k.
Pia ni siku ya kimataifa ya kuomba amani duniani

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.