Eujendo wa Condat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eujendo wa Condat (kwa Kilatini: Eugendus au Augendus; kwa Kifaransa: Oyand au Oyan; 449 - 1 Januari 510) alikuwa mmonaki kutoka Ufaransa aliyepata kuwa abati wa Condat.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Januari[1], lakini pia 4 Januari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Burns, Paul. Butler's Lives of the Saints: New Full Edition. Collegeville, MN:The Liturgical Press, 1995. ISBN|0-8146-2377-8.
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eujendo wa Condat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.