Evaristo Marc Chengula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evaristo Marc Chengula, M.C. (1 Januari 1941 - 21 Novemba 2018) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwahi kuwa padri mmisionari katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Norbert Wendelin Mtega mwaka 1997. Tangu mwaka huo hadi kifo chake, aliongoza Jimbo la Mbeya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.