Jimbo Kuu la Mbeya
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo Katoliki la Mbeya)
Jimbo Kuu la Mbeya (kwa Kilatini "Archidioecesis Mbeyaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linasimamia jimbo Katoliki la Iringa, Jimbo Katoliki la Sumbawanga na Jimbo Katoliki la Mafinga.
Askofu mkuu wake wa kwanza amechaguliwa Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga tarehe 21 Desemba 2018.
Historia
[hariri | hariri chanzo]- 1932: Kuanzishwa kwa Apostolic Prefecture ya Mbeya kutokana na Apostolic Vicariate ya Tanganjika
- 1949: Kupandishwa hadhi kuwa Apostolic Vicariate ya Mbeya
- 25 Machi 1953: Kufanywa dayosisi
- 21 Desemba 2018: Kupandishwa hadhi kuwa Jimbo kuu
Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wa Mbeya
- Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga (2018- )
- Evaristo Marc Chengula MC (1996-2018)
- James Dominic Sangu (1966 – 1996)
- Antoon van Oorschoot MAfr (1953 – 1964)
- Vicar Apostolic wa Mbeya
- Antoon van Oorschoot MAfr (1949 – 1953)
- Prefect Apostolic wa Mbeya
- Antoon van Oorschoot MAfr (1947 – 1949)
- Ludwig Haag MAfr (1938 – 1947)
- Max Theodor Franz Donders MAfr (1932 – 1938)
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 60,348, ambapo kati ya wakazi 2,082,000 (2006) Wakatoliki ni 347,347 (16.7%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Mbeya kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |