Julius Nyaisangah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Julius Nyaisangah
kutoka kushoto ni: Aboubakar Liongo, Anko J katikati (enzi za uhai wake hii ni 2012), na Othamn Michuzi
Amezaliwa(1960-01-01)Januari 1, 1960
AmefarikiOktoba 20, 2013 (umri 53)
Morogoro, Tanzania
Sababu ya kifoShinikizo la damu na sukari
NchiMtanzania
Majina mengineAnko J
Kazi yakeMtangazaji/Mkurugenzi
Watoto3


Julius Nyaisangah (alifahamika zaidi kwa jina fupi kama Anko J; 1 Januari 1960 - 20 Oktoba 2013) alikuwa mtangazaji maarufu wa redio na televisheni kutoka nchini Tanzania.

Awali alifanya kazi RTD, Radio One, na mwisho kabisa alikuwa mkurugenzi wa Abood Media Co. Limited. Nyaisangah alifariki dunia kwa tatizo la shinikizo la damu na kisukari mjini Morogoro, Tanzania. Ameacha mjane na watoto watatu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]