Golden Gate Bridge
Mandhari
Golden Gate Bridge ni daraja ambalo limepita juu ya Pwani ya San Francisco. Linatoka San Francisco linakwenda Marin County, katika jimbo la Marekani la California. Lilianza kutumiwa mnamo mwaka wa 1937. Lina urefu wa ft 9,266 (2,824 m). Wakati ujenzi wa daraja ulipokamilika, lilikuwa daraja refu kuliko yote duniani. Kwa sasa kuna madaraja manane ambayo ni marefu. Kwa watu wengi, huamini kwamba bado hili ndilo daraja zuri duniani.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ujenzi
[hariri | hariri chanzo]Leo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Golden Gate Bridge Ilihifadhiwa 10 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine. official site
- Golden Gate Bridge katika Open Directory Project
- Images of the Golden Gate Bridge from San Francisco Public Library's Historical Photograph database