Ernest Rutherford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ernest Rutherford wakati wa kupokea Tuzo ya Nobel
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Ernest Rutherford (30 Agosti 187119 Oktoba 1937) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Utafiti wake hasa uliweka msingi kwa fizikia ya kiini. Mwaka wa 1908 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Rutherford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.