Nenda kwa yaliyomo

Borneo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Borneo tar. 17-05-2002
Picha ya ramani kuonesha mahali pa Borneo kati ya visiwa vya Indonesia

Borneo ni kisiwa kikubwa cha pili cha Asia ya kusini-mashariki. Eneo lake ni 740,000 km². Duniani visiwa vya Greenland na Guinea Mpya pekee ni vikubwa zaidi.

Borneo hutawaliwa na nchi tatu:

Hali ya hewa ni ya kitropiki. Maeneo makubwa ni misitu minene.

Idadi ya wakazi ni milioni 15.7 (2005) na msongamano wa watu ni wakazi 16/km².

Watu ni Wadayak, Wamalay na Wachina.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Borneo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.