Oliver Cromwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya Oliver Cromwell.

Oliver Cromwell (25 Aprili 15993 Septemba 1658) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa Uingereza. Anajulikana kwa kufanya jamhuri ya Uingereza kuwa na umoja na masoko ya pamoja.

Kitendo alichochukua hakikuwafurahisha watu zaidi ya kuwachanganya mpaka leo. Aliunga mkono bunge dhidi ya mfalme. Alitoa amri ya kijeshi ya kuvunja bunge katika utawala wake.

Alikuwa analinda imani ya dini ili ziheshimiwe na watu. Watu waliokwenda kinyume na imani ya dini aliamuru wakamatwe na kuteswa. Cromwell alikuwa wa kwanza uingereza kutekelezwa Upuritani.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oliver Cromwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.