WikiLeaks
WikiLeaks ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalochapisha habari za siri zinazofichuliwa na watu wasiojitambulisha (kwa Kiingereza: news leaks[1] and classified media provided by anonymous sources[2]).
Tovuti yake, iliyofunguliwa na Sunshine Press mwaka 2006 huko Iceland [3], ina nyaraka milioni 10.[4]
Mwanzilishi wake ni Julian Assange. Toka mwaka 2018, Kristinn Hrafnsson ni mhariri wake mkuu.[5]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Karhula, Päivikki (5 October 2012). What is the effect of WikiLeaks for Freedom of Information?. International Federation of Library Associations and Institutions. Jalada kutoka ya awali juu ya 11 October 2012.
- ↑ Editors, The. "WikiLeaks", The New York Times, 16 August 2012.
- ↑ Chatriwala, Omar (5 April 2010). WikiLeaks vs the Pentagon. Al Jazeera. Jalada kutoka ya awali juu ya 9 February 2014.
- ↑ WikiLeaks Ten Year Anniversary.
- ↑ McGreal, Chris. "Wikileaks reveals video showing US air crew shooting down Iraqi civilians", 5 April 2010. Archived from the original on 26 June 2011.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Courage Foundation official website Archived 11 Aprili 2019 at the Wayback Machine. An organization that supports whistleblowers and political prisoners
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |