Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majadiliano haya yamehamishwa kutoka "Kuhariri Talk:Makala za msingi - orodha ya meta Feb 2008"

Ushauri: Labda hii tuipandikize juu ya sehemu ya "Makala za msingi za kamusi elezo" halafu hii tuifute. Kwasabu hakutakuwa na sababu ya kuwepo kwa hizi zote mbili, hii peke yake yatosha kwa lengo la kufananisha na ile ya MetaWiki. Hapo vipi?--"Mwanaharakati" (talk) 05:09, 6 Machi 2008 (UTC)[jibu]

Nimesita lakini sasa nakubali. Nahamisha orodha hii ifike mbele. --Kipala (majadiliano) 20:20, 24 Novemba 2008 (UTC)[jibu]


Takwimu

[hariri chanzo]

Orodha ya Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo ambayo ni sawa na meta:List of articles every Wikipedia should have ni msingi wa jedwali inayolinganisha ubora wa wikipedia katika lugha mbalimbali. Napenda kuonyesha maendeleo ya wikipedia yetu kwa kutunza kumbukumbu ya jedwali ile kwa sw-wikipedia na matokeo yake ya kila mwezi. Jedwali yote inaonekana kwa meta:http://meta.wikimedia.org/wiki/List_of_Wikipedias_by_sample_of_articles --Kipala (majadiliano) 11:26, 31 Desemba 2008 (UTC)[jibu]

Mwezi Wiki Language Weight Average Article Size Absent (0k) Stubs
(< 10k)
Articles
(10-30k)
Long Art.
(> 30k)
Score Growth
29 Novemba 2008 65 sw Kiswahili 1.0 3,173 392 594 13 1 7.28 +0.35
3 Januari 2009 60 sw Kiswahili 1.0 3,181 300 681 17 2 8.52 +1.24
2 Februari 2009 60 sw Kiswahili 1.0 3,196 284 697 17 2 8.70 +0.18
3 Machi 2009 60 sw Kiswahili 1.0 3,199 277 704 17 2 8.78 +0.08
4 Aprili 2009 60 sw Kiswahili 1.0+ 3,241 293 688 17 3 8.69 -0.09

Kubadilisha mfumo wa makala

[hariri chanzo]

Tangu kuanzishwa kwa makala hii orodha ya makala 1000 imebadilishwa mara nyingi. Hatuna nafasi ya kufuatilia. Naona inatosha kuonyesha hapa orodha ya makala zinazokosekana wakati wowote na hizi zinapatikana hapa: [[1]]

Naona inatosha kuonyesha hizi zinazokosekana. Asiyekubali arudishe makala Kipala (majadiliano) 18:57, 13 Desemba 2012 (UTC)[jibu]

New real time list of missing articles

[hariri chanzo]

I suggest that you give a look to the Mix'n'match tool by Magnus Manske, and that you recommend it from this page. Thanks to Wikidata, it's able to tell you in real time what articles you're missing out of several reliable lists of relevant persons. --Nemo 17:06, 10 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]

Nimeona ChriKo amefuta katika orodha hii makala nilizoziongeza kutokana na ile ya Kiingereza. Niliona kwamba makala hizo zipo, lakini shida ni kwamba interwiki haikubali, kwa sababu kurasa zetu zina kiungo tofauti na kile kinachotarajiwa: pigeon, citrus/limon, Culicidae na sasa pia biological classification. Tufanye nini ili orodha yetu ya makala ambazo bado ilingane na ile ya Kiingereza? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:42, 8 Februari 2016 (UTC)[jibu]

Makala 4 zilizobaki

[hariri chanzo]

Napendekeza tule mkia huo pia baada ya kula ng'ombe mzima... Kwangu shida ya kwanza ni majina ya Kiswahili ya kurasa hizo 4 zilizobaki: nani anaweza kutoa mapendekezo? Amani kwenu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:18, 2 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]