Nenda kwa yaliyomo

Managua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Managua

Kanisa Kuu la Kikatoliki mjini Managua (Nikaragua)
Habari za kimsingi
Mkoa Eneo la mji mkuu Managua (Departmento Managua)
Anwani ya kijiografia Latitudo: 12°8′12″N - Longitudo: 86°15′5″W
Kimo 55 - 900 m juu ya UB
Eneo - Manisipaa 544 km²
- mji 173.7 km²
Wakazi 1,380,100 (2001)
Msongamano wa watu watu 2,537 kwa km²
Simu +505 (nchi), 2 (mji)
Mahali
Nembo la Managua

Managua (Kinahuatl: Mana-ahuac - "kando la maji") ni mji mkuu wa Nikaragua pia mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 1.3.

Mji uko kando la ziwa Managua unapoelea ufukoni kwa upana wa km 30 na kupanda mitelemko ya vilima hadi kimo cha mita 900.

Managua imekuwa mji mkuu tangu 1892content&task=view&id=23&Itemid=40 ilipochukua nafasi ya miji mikuu ya awali León na Granada.

Mji ulianzishwa katika karne ya 19. Iliharibika mara mbili na matetemeko ya ardhi (1931 na 1972) ikajengwa upya tena.

Managua ina vyuo vikuu kadhaa, vyuo na shule nyingi pamoja taasisi kama maktaba ya taifa na makumbusho ya taifa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Managua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.