Nenda kwa yaliyomo

Valparaiso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huruValparaíso

Bendera
Majiranukta: 33°03′00″S 71°37′00″W / 33.05000°S 71.61667°W / -33.05000; -71.61667
Nchi Chile
Mkoa Valparaíso
Wilaya Valparaíso
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 276,474
Tovuti:  www.municipalidaddevalparaiso.cl

Valparaíso (au 'Valpo') ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Valparaíso katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 280,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 0-336 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Valparaiso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.