James Chadwick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Chadwick

James Chadwick (20 Oktoba 189123 Julai 1974) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Aligundua na kuchunguza nutroni. Mwaka wa 1935 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Chadwick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.