G7
Mandhari
| Kundi la nchi 7 na Umoja wa Ulaya |
|---|
|

Kundi la G7 linaundwa na mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa nchi 7 zilizoendelea sana: Kanada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japani, Ufalme wa Muungano na Marekani ambao wanakutana ili kujadili hasa maswala ya uchumi. Umoja wa Ulaya pia unawakilishwa katika G7.
Nchi hizo zinaongoza kwa utajiri wa kitaifa, zikiwa na 64% ya utajiri wote duniani ($263 trilioni) kadiri ya Credit Suisse Global Wealth Report October 2014.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Credit Suisse Global Wealth Databook 2013 (PDF). Credit Suisse. Oktoba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-02-09. Iliwekwa mnamo 2015-01-31.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- G7/8 Information Centre - University of Toronto Ilihifadhiwa 1 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu G7 Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

