Boris Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alexander Boris de Pfeffel Johnson (amezaliwa 19 Juni 1964) ni mwanasiasa wa Uingereza, mwandishi, na mwandishi wa habari wa zamani ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Ufalme wa Muungano tangu mwaka 2019 hadi Septemba 2022.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boris Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.