Kālidāsa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kālidās (Kidevanāgarī: कालिदास) alikuwa mwandishi nchini Uhindi. Aliishi mnamo mwaka 400 katika milki ya Gupta akatumia lugha ya Kisanskrit akitazamiwa kama mshairi mkuu wa lugha hiyo.

Katika mashairi na tamthiliya alitumia mapokeo ya kidini ya Kihindu.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kālidāsa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.