Tandawala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tandawala
Tandawala mkubwa (Ardeotis kori)
Tandawala mkubwa (Ardeotis kori)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Otidiformes (Ndege kama tandawala)
Familia: Otididae (Tandawala)
Rafinesque, 1815
Ngazi za chini

Jenasi 11 na spishi 22:

Tandawala ni ndege wakubwa wa familia ya Otididae. Tandawala kaskazi mkubwa ni ndege mkubwa kabisa duniani ambaye anaweza kuruka angani. Ndege hawa wana shingo refu, miguu mirefu na vidole vikubwa. Wakati wa majira ya kuzaa madume wana manyoya ya kuvutia na hufanya mikogo ya kubembeleza jike. Wanatokea kanda kavu za Afrika, Ulaya na Asia. Hula mbegu, wadudu na mijusi na hutaga mayai 2-5 chini.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]