Nenda kwa yaliyomo

Dola-mji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Miji-dola)

Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa bado na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa.

Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".

Dola-mji wa kujitegemea kabisa[hariri | hariri chanzo]

Dola-mji wa kujitegemea kabisa ni:

Wakati mwingi Kuwait huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini nchini kuna miji midogo mingine pia.

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho[hariri | hariri chanzo]

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ni kama mfano:

China si shirikisho lakini miji ya Hongkong na Makau ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za China bara.

Dola-miji katika historia[hariri | hariri chanzo]

Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati ambapo katika nchi fulani hakukuwa na serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.

Dola-miji katika karne ya 20[hariri | hariri chanzo]

Karne ya 20 ilikuwa na dola-miji kadhaa, hasa kati ya vita kuu ya kwanza na ya pili.

Dola-miji ya zamani[hariri | hariri chanzo]

  • Hanse ilikuwa shirikisho la miji ya biashara katika Ulaya ya Kaskazini na miji hii kwa jumla ilijitawala.

Viungo vie nje[hariri | hariri chanzo]