Jagwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jagwa
Jagwa (Panthera onca)
Jagwa (Panthera onca)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Pantherinae (Wanyama wanaofanana na chui)
Jenasi: Panthera
Oken, 1816
Spishi: Panthera onca
(Linnaeus, 1758)

Jagwa (kutoka Kireno: jaguar, Kisayansi: Panthera onca) ni mnyama mkubwa kama chui anayeishi Amerika na aliye na manyoya ya manjano na madoa meusi.

Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na jagwa (chungwa)
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Jagwa" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili jaguar kutoka kwa lugha ya Kireno. Neno (au maneno) la jaribio ni jagwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.