Baruch Spinoza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baruch Spinoza

Baruch Spinoza (24 Novemba 1632 - 21 Februari 1677) alikuwa mwanafalsafa wa Uholanzi. Anaangaliwa kama mmojawapo wa waanzishaji wa Zama za Mwangaza.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baruch Spinoza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.