Amedeo Avogadro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amedeo Avogadro.

Amedeo Avogadro (9 Agosti 1776 - 9 Julai 1856) alikuwa mwanasayansi wa Italia. Yeye ni maarufu kutokana na michango yake katika nadharia ya masi. Idadi ya chembechembe za msingi kama atomi, molekuli, ioni katika mole 1 ya dutu ni sawa na 6.02214179 × 1023, hii inajulikana kama Avogadro's constant.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amedeo Avogadro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.