Mkunga Umeme (Samaki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkunga Umeme
Mkunga Umeme akiwa katika Akwaria ya New England, Marekani
Mkunga Umeme akiwa katika Akwaria ya New England, Marekani
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Actinopterygii
Oda: Gymnotiformes
Familia: Gymnotidae

Mkunga Umeme ni samaki mwenye umeme wa Amerika Kusini. Hadi 2019, iliainishwa kama spishi pekee katika jenasi yake. [1]. Licha ya jina, si Mkunga, bali ni Samaki-kisu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. de Santana, C. David; Crampton, William G. R. (2019-09-10). "Unexpected species diversity in electric eels with a description of the strongest living bioelectricity generator". Nature Communications 10 (1): 4000. doi:10.1038/s41467-019-11690-z . PMC 6736962 . PMID 31506444 . Archived from the original on 2019-09-10. https://web.archive.org/web/20190910170231/https://www.nature.com/articles/s41467-019-11690-z.pdf. Retrieved 2019-09-10.
Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkunga Umeme (Samaki) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.