Nenda kwa yaliyomo

Katografia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Cartography)
Katografia
Tunda la katografia.

Katografia (kwa Kiingereza "cartography") ni elimu ya kutengeneza ramani. Ni sehemu ya jiografia. Mtu ambaye hufanya ramani huitwa mchoraji wa ramani.

Jinsi watu wanavyotengeneza ramani inabadilika kila wakati. Huko nyuma, ramani ilikuwa inatolewa kwa mkono, lakini leo zaidi ramani inachapishwa kwa kutumia kompyuta.

Kutengeneza ramani inaweza kuwa rahisi kama kuchora mwelekeo kwenye leso, au mgumu kama kuonyesha sensa ya nchi nzima. Mtu yeyote anaweza kutengeneza ramani, lakini kuna watu ambao hutumia maisha yao kujifunza jinsi ya kutengeneza ramani ngumu.

Kwa karne nyingi ramani zilikuwa zikitolewa kwenye karatasi. Siku hizi ramani hufanywa katika kompyuta ambayo huwafanya mwonekano wa ramani kuwa sahihi.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katografia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.