Arithropodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Arithropodi
Maumbile ya mdudu
Maumbile ya mdudu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda
Ngazi za chini

+ Nusufaila Trilobitomorpha (zimekwisha)

Arithropodi ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda.

Wote huwa na kiunzi cha nje kinachoundwa na chitini.

Wengi ni wadogo na spishi kubwa kabisa ni kaa ya Japani inayofikia uzito wa kilogramu 15-20. Lakini wana spishi nyingi sana wanapatikana kila sehemu ya dunia.

Uainishaji[hariri | hariri chanzo]

Uainisho wa kawaida wa arithropodi unaonyeshwa katika sanduku la uainishaji. Lakini tangu mwanzo wa karne hii maainisho mabadala yamependekezwa. Pendekezo la hivi karibuni ni hili (vifundo havikupewa tabaka)[1]:

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Todd H. Oakley, Joanna M. Wolfe, Annie R. Lindgren & Alexander K. Zaharoff, 2013. Phylotranscriptomics to bring the understudied into the fold: monophyletic ostracoda, fossil placement, and pancrustacean phylogeny. Molecular Biology and Evolution 30(1): 215-233.
Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arithropodi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: