Jongoo Miguu-michache
Mandhari
| Jongoo miguu-michache | ||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Spishi isiyotambuliwa ya Pauropoda | ||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||||
|
Familia: |
Majongoo miguu-michache ni aina za arithropodi wadogo katika ngeli Pauropoda ya nusufaila Myriopoda. Wana mnasaba na majongoo ya kawaida lakini wana urefu mfupi (mm 0.5-2) na miguu michache kuliko hawa (jozi 9-11 katika wanyama wazima). Vipapasio vyao vina vitawi. Hawana macho wala moyo. Huonekana katika udongo na inawezekana kama hula kuvu na dutu ya viumbehai.
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Jongoo miguu-michache wa Huxley