Nenda kwa yaliyomo

Arthur Miller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arthur Miller

Arthur Asher Miller (17 Oktoba 191510 Februari 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Death of a Salesman.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Miller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.