Sam Mangwana
Mandhari
Sam Mangwana | |
---|---|
Amezaliwa | 21 Februari 1945 Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Kazi yake | Msanii wa rekodi |
Miaka ya kazi | 1963-hadi sasa |
Ameshirikiana na | TPOK Jazz Festival des Maquisards African All Stars African Fiesta African Fiesta National Afrisa International |
Sam Mangwana (amezaliwa 21 Februari 1945) ni mwanamuziki kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Sam Mangwana alizaliwa na wahamiaji nchini humo, huku baba akiwa mtu wa Zimbabwe na mama akiwa mtu wa Angola. Sam ni kiongozi wa bendi za Festival des Maquisards na African All Stars.
Awali alikuwa mwanachama wa bendi ya marehemu François Luambo Makiadi TPOK Jazz, na bendi za Tabu Ley Rochereau - African Fiesta, African Fiesta National na Afrisa International.[1]
Uanachama katika bendi
[hariri | hariri chanzo]- African Fiesta, 1962
- Festival des Maquisards, 1968
- TPOK Jazz, 1972
- African Fiesta National
- Afrisa International
- African All Stars, 1978
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]- Akiwa na Festival des Maquisards
|
|
|
- Akiwa na TPOK Jazz
- Lufua Lua Nkadi - Sung imeimbwa na Sam Mangwana, Michel Boyibanda, Josky Kiambukuta na Lola Checain mnamo 1972.
- Luka Mobali Moko -meimbwa na Sam Mangwana, Josky Kiambukuta, Michèl Boyibanda na Lola Chécain, mnamo 1974.
- Wasanii aliowasaidia
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Harris, Craig. "Sam Mangwana: Artist Biography by Craig Harris". AllMusic.com. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Unofficial Biographical Site Archived 13 Aprili 2005 at the Wayback Machine.