Djibril Diallo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dakta Djibril Diallo ni mzaliwa wa Senegal. Amewahi kuwa mkurugenzi wa mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo, mshauri maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiani na mkutano wa kimataifa wa haki za binadamu. Tena alikuwa waziri nchini Mali. Hivi sasa anajihusisha na ofisi ya Umoja ya Mataifa inayojihusisha na miradi ya kuleta amani kwa kutumia michezo. Diallo pia ni msemaji wa Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.