Kinengenenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kinengenenge
Kinengenenge wa Madagaska
Kinengenenge wa Madagaska
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Zosteropidae (Ndege walio na mnasaba na vinengenenge)
Jenasi: Apalopteron Bonaparte, 1854

Chlorocharis Sharpe, 1888
Cleptornis Oustalet, 1889
Dasycrotapha Tweeddale, 1878
Heleia Hartlaub, 1865
Hypocryptadius Hartert, 1903
Lophozosterops Hartert, 1896
Megazosterops Stresemann, 1930
Oculocincta Mees, 1953
Rukia Momiyama, 1922
Sterrhoptilus Oberholser, 1918
Tephrozosterops Stresemann, 1931
Woodfordia North, 1906
Yuhina Hodgson, 1836
Zosterops Vigors & Horsfield, 1827
Zosterornis Ogilvie-Grant, 1894

Spishi: Angalia katiba.

Vinengenenge ni ndege wadogo wa familia Zosteropidae. Wana rangi ya zeituni mgongoni na ya kijivu chini na mara nyingi rangi ya manjano na nyeupe pia, pengine nyekundu. Takriban spishi zote zina doa la mviringo kuzunguka macho. Domo lao ni jembamba lenye ncha kali na ulimi ni kama brashi ili kula mbochi. Vinengenenge hula wadudu hasa lakini mbochi na matunda pia. Hulijenga tago lao mtini na jike huyataga mayai buluu 2-4.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]