Kolkata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Calcutta)
Jump to navigation Jump to search
Kolkata
Majengo mashuhuri ya Kolkata
Majengo mashuhuri ya Kolkata
Kolkata is located in Uhindi
<div style="position: absolute; z-index: 2; top: Expression error: Unexpected < operator.%; left: Expression error: Unexpected < operator.%; height: 0; width: 0; margin: 0; padding: 0;">
Kolkata
Kolkata
Mahali pa mji wa Kolkata katika Uhindi
Majiranukta: 22°34′N 88°22′E / 22.567°N 88.367°E / 22.567; 88.367
Nchi Uhindi

Kolkata (pia: Kalkutta; Kibengali: কলকাতা Kalkāṭa) ni jiji kubwa katika mashariki ya Uhindi na mji mkuu wa jimbo la Bengali ya Magharibi.

Mji ulikuwa mji mkuu wa Uhindi wa Kiingereza hadi 1911. Baada ya ugawaji wa Uhindi hali yake ilirudi nyuma kwa sababu ya ugawaji wa Bengali kwa jumla. Baadaye jina limekuwa mashuhuri tena kimataifa kutokana na kazi ya Mama Teresa aliyeishi hapa.