Nat King Cole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nat King Cole
Cole, mnamo Juni 1947
Cole, mnamo Juni 1947
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Nathaniel Adams Coles
Amezaliwa (1919-03-17)Machi 17, 1919
Marekani
Amekufa 15 Februari 1965 (umri 45)
Marekani
Miaka ya kazi 1935–1965

Nat King Cole (17 Machi 191915 Februari 1965) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Nathaniel Adams Coles. Alikuwa anapiga muziki ya Jazz.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nat King Cole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.