Majadiliano ya Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bado utata kidogo. Hii inajihesabu kama makala, yaani ipo katika sehemu ya "Namespace" (Kiswahihili chake sijui - labda sehemu kuu ya kuandikia makala). Hivyo haistahili kuwa hapa! Inabidi ihamishwe na ipelekwe: Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanushwa, ili kuondoa dhana ya kujihesabu kama makala. Ni ushauri tu, je, vipi mwenzangu unalionaje hilo?--Mwanaharakati (Longa) 05:42, 25 Novemba 2008 (UTC)

Sawa, imehamishwa --Kipala (majadiliano) 06:45, 25 Novemba 2008 (UTC)