Korongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya korongo la kijiografia

Korongo ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani.

Jina hili hutumika kwa jamii mbili ya ndege:

Korongo pia ni jina la mnyamapori mkubwa mwenye mabaka meusi kichwani na pembe zilizopindika kuelekea nyuma (Korongo (Bovidae)).

Mwishoni korongo ni mfereji wa maji wa mto usio na maji mwaka mzima, au mvo wa (bonde la) mmomonyoko (korongo (jiografia)).