Mdumange

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mdumange ni moja ya ngoma za asili ya mkoa wa Tanga, Tanzania, ngoma hii asili yake ni usambaani na huchezwa sana na kabila la wasambaa.