Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.


Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi

(hali ya Machi 2015) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

 1. acceleration * sw: mchapuko
 2. addiction * sw: addiction
 3. algorithm * sw: algorithm
 4. animation * sw: animation
 5. artificial intelligence * sw: akili bandia
 6. breathing * sw: upumuo
 7. Capacitor * sw: kapasita
 8. circulatory system * sw: mfumo wa mzunguko wa damu
 9. classical mechanics * sw: classical mechanics
 10. complex number * sw: namba changamano
 11. conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
 12. dialectic * sw: upembuzi
 13. differential equation * sw: mlinganyo tenguo
 14. diode * sw: diodi
 15. Dream of the Red Chamber * sw: Dream of the Red Chamber
 16. electronic music * sw: electronic music
 17. endangered species * sw: spishi adimu
 18. endocrine system * sw: mfumo wa tezi
 19. equation * sw: mlinganyo
 20. fashion * sw: fasheni
 21. feminism * sw: harakati ya ukombozi wa wanawake
 22. flamenco * sw: flamenco
 23. frequency * sw: marudio
 24. function * sw: function
 25. gambling * sw: gambling
 26. game * sw: mchezo
 27. general relativity * sw: general relativity
 28. Gupta Empire * sw: Dola la Gupta
 29. handicap * sw: kilema
 30. headache * sw: maumivu ya kichwa
 31. heart attack * sw: heart attack
 32. immune system * sw: immune system
 33. inductor * sw: inductor
 34. infinity * sw: infinity
 35. information * sw: taarifa
 36. inorganic chemistry * sw: inorganic chemistry
 37. large intestine * sw: utumbo mpana
 38. liberalism * sw: liberalism
 39. life * sw: uhai
 40. linear algebra * sw: linear algebra
 41. lipid * sw: lipid
 42. literacy * sw: literacy
 43. logarithm * sw: logi
 44. machine * sw: mashine
 45. martial arts * sw: martial arts
 46. mathematical analysis * sw: mathematical analysis
 47. mathematical proof * sw: mathematical proof
 48. Meiji Restoration * sw: Meiji Restoration
 49. menstruation * sw: Hedhi
 50. mental disorder * sw: Ugonjwa wa akili
 51. Mind * sw: Mind
 52. Mollusca * sw: Mollusca
 53. nanotechnology * sw: nanotechnology
 54. natural disaster * sw: natural disaster
 55. nervous system * sw: mfumo wa neva
 56. nuclear fission * sw: nuclear fission
 57. number theory * sw: number theory
 58. numerical analysis * sw: numerical analysis
 59. operating system * sw: operating system
 60. organic chemistry * sw: organic chemistry
 61. pandemic * sw: pandemic
 62. pharmaceutical drug * sw: dawa za famasia
 63. photography * sw: photography
 64. physical chemistry * sw: physical chemistry
 65. poliomyelitis * sw: poliomyelitis
 66. polytheism * sw: polytheism
 67. programming language * sw: programming language
 68. quantum mechanics * sw: quantum mechanics
 69. reproduction * sw: uzazi
 70. reproductive system * sw: mfumo wa uzaai
 71. resistor * sw: resistor
 72. respiratory system * sw: mfumo wa upumuaji
 73. robot * sw: robot
 74. semiconductor * sw: semiconductor
 75. set theory * sw: set theory
 76. socialism * sw: socialism
 77. software * sw: software
 78. soul * sw: soul
 79. special relativity * sw: special relativity
 80. statistics * sw: statistics
 81. strong interaction * sw: strong interaction
 82. symmetry * sw: symmetry
 83. theater * sw: theater
 84. thermodynamics * sw: thermodynamics
 85. toy * sw: toy
 86. transformer * sw: transforma
 87. transistor * sw: transista
 88. trigonometry * sw: trigonometry
 89. velocity * sw: velocity
 90. weak interaction * sw: weak interaction
 91. World Wide Web * sw: World Wide Web
 92. Yoga * sw: Yoga