Hans Bethe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hans Bethe

Hans Albrecht Bethe (2 Julai 19066 Machi 2005) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa katika mji wa Strasbourg. Mwaka wa 1933 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Bethe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.