6 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1447 - Uchaguzi wa Papa Nikolasi V
- 1957 - Nchi ya Ghana inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
- 1475 - Michelangelo, msanii kutoka Italia
- 1928 - Gabriel Garcia Marquez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1982)
- 1942 - Flora Purim, mwimbaji kutoka Brazil
- 1949 - Benn Haidari, mpishi wa kiZanzibar nchini Ufini
Waliofariki [hariri]
- 1900 - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani
- 1973 - Pearl S. Buck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 2005 - Hans Bethe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)