30 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1191 - Uchaguzi wa Papa Celestino III
- 1492 - Wafalme Ferdinand na Isabella wa Hispania waamuru kufukuzwa nchini kwa Wayahudi wote wasiopokea imani ya kikatoliki
Waliozaliwa [hariri]
- 1746 - Francisco de Goya, mchoraji kutoka Hispania
- 1853 - Vincent van Gogh, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1948 - Method Kilaini, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1964 - Tracy Chapman, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1949 - Friedrich Bergius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 1965 - Philip Hench (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)