4 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 4 Machi ni sikukuu ya Kasimir Mtakatifu, mwana mfalme wa Poland.
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1678 - Antonio Vivaldi, mtungaji wa muziki kutoka Italia
- 1932 - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
Waliofariki [hariri]
- 254 - Papa Lucius I
- 1484 - Kasimir Mtakatifu, mwana mfalme wa Poland
- 1952 - Charles Sherrington (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
- 1963 - William Carlos Williams (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1963)