Thomas Sigismund Stribling

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Sigismund Stribling, kabla ya 1907

Thomas Sigismund “T.S.” Stribling (4 Machi 18818 Julai 1965) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1933 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Store.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Sigismund Stribling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.