Wikipedia:Jumuia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
  • sw: Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii na kujadiliana mambo ya jumuiya yetu!

Viungo vya jumuia:

Wikipedia:Sanduku la mchanga Wikipedia:Wakabidhi Wikipedia:Makala kwa ufutaji Wikipedia:Makala zinazohifadhiwa Makala zinazotembelewa sana leo hii
Wikipedia:Ubalozi Wikipedia:Bots Wikipedia:Kona ya majadiliano‎ Wikipedia:Makala zilizoombwa Angalia michango ya watumiaji
  • en: Welcome to the Swahili Wikipedia village pump!

Requests for the bot flag should be made on the page Wikipedia:Bots. This wiki uses the standard bot policy, and allows global bots and automatic approval of certain types of bots. Other bots should apply below, and then request access from a steward if there is no objection.

Majadiliano ya awali yamehamishiwa hapa:

Karibuni mwaka 2015

Tunawatakia heri wachangiaji na wasomaji wote kwa mwaka mpya 2015.

Kura juu ya utaratibu wa kuanzisha makala mapya ("Community request to disable article page creation by anonymous/IP editors" )

Napendekeza kurudia kura juu ya utaratibu wa kuanzisha makala mapya.

  • Tuliwahi kuifanya mwaka 2012, tazama Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu_2012_hadi_2013#Pendekezo:_Utaratibu_wa_kuanzisha_makala.
  • Nilipofuatilia ikatokea majadiliano hapa: Kumbukumbu ya majadiliano ya masteward wa Meta
  • Majibu yalinikatisha tamaa. Mwaka 2014 nilipata nafasi kujadili jambo tena na mtu wa wikimedia wako tayari kutusaidia kama bado jumuiya inakubali.
  • Nimeona ya kwamba idadi kubwa ya wikipedia hazina mabano lakini zifuatazo pamoja na Kiingereza (ambayo ni kubwa kabisa) zina: "en.wiki, id.wiki, fa.wiki, ta.wiki and es.books as of 2011." (yaani Kiingereza, Kifarsi, Kitamili na Kiindonesia)
  • Pendekezo lina sehemu mbili naomba kupinga au kukubali sehemu 1 na 2 pekee:
  1. "makala mapya yanaweza kuanzishwa na watumiaji waliojiandikisha pekee lakini kila mtu anaweza kufungua ukurasa wa majadiliano na kuchangia hapo". (article creation disabled for unregistered users but talk space open).
  2. "Makala yanaweza kubadilishwa na wachangiaji waliojiandikisha pekee; kurasa za majadiliao yanaweza kuhaririwa na mtu yeyote bila kujiandikisha" ("namespace edits restricted to registered users, talkspace open")
  3. Sababu: Wahariri wachache wa kudumu wanaojua utaratibu wa wikipedia wanashindwa kuangalia kila badiliko kwa hiyo makala yasiyofaa yameingia katika wikipedia yetu na mabadiliko yasiyofaa yamo ndani ya makala. (Reason: the few permanent contributors who know the rules and the system cannot keep up daily with new articles and edits, thus unsuitable articles have been joined to this wikipedia and unsuitable edits have remained"). Naomba watumiaji wote kuchangia! Kipala (majadiliano) 11:54, 3 Februari 2015 (UTC)
YesY Ninakubali bila shaka, lakini utaratibu wa kura ni gani? ChriKo (majadiliano) 23:01, 11 Februari 2015 (UTC)
YesY Nakubali. --Baba Tabita (majadiliano) 06:58, 12 Februari 2015 (UTC)
YesY Nakubali ingawa sielewi vizuri matokeo yake yote. Nawaamini nyinyi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:19, 12 Februari 2015 (UTC)
YesYnakubali pande zote mbili. --Kipala (majadiliano) 20:30, 13 Februari 2015 (UTC)
YesY Nakubali bila kinyongo--MwanaharakatiLonga 13:50, 19 Februari 2015 (UTC)

ChriKo: naelewa ya kwamba tunasubiri kidogo halafu kuangalia kura zinazopatikana. --Kipala (majadiliano) 20:30, 13 Februari 2015 (UTC)

Sorry for writing in English, please translate. The change was implemented but will be reverted on 2015-09-15 unless there is a demonstration that all alternatives fail: see phabricator:T44894 and update us there (you can login with your Wikipedia account). Things to consider in a future discussion:

Alternatives the community is expected to test in this period:

If you notice a pattern in the bad edits (e.g. specific topics, words, IP addresses, sizes of the pages, links, etc. etc.), but you are not able to technically stop them, please ask technical help at m:Stewards noticeboard. --Nemo bis (majadiliano) 07:39, 17 Machi 2015 (UTC)

VisualEditor News #1—2015

18:30, 5 Februari 2015 (UTC)

Administrator's inactivity

Hi. I would like to notify a community of this project that stewards and their delegates are checking activity of admistrators in accordance with the AAR policy. On this Wikipedia one user with these rights (User:Ndesanjo) is inactive for more than two years. As I see here, sysop rights are removed after a vote. Is it an official local policy? Openbk (talk) 23:25, 6 Februari 2015 (UTC)

This correct. Kipala (majadiliano) 19:07, 8 Februari 2015 (UTC)

Tshirt kwa wikipedia ya Kiswahili

Hapo mapendekezo mawili kwa Tshirt ya Wikipedia ya Kiswahili. Nimetunga chaguo 2 kwa mbele na 2 kwa nyuma. Naomba mawazo yenu!

Mapendekezo kwa Tshirt ya Wikipedia ya Kiswahili

Kwa mifano ya rangi mwangalie hapa: https://commons.wikimedia.org/wiki/Category:Wikipedia_T-shirts na http://instagram.com/p/x5S1EsnvKn/.

Kwa hiyo tunaweza kutumia kitambaa cheupecheupe na logo/maandishi nyeusi au kinyume. Mawazo yenu! Kipala (majadiliano) 09:08, 7 Februari 2015 (UTC)

Napenda zaidi maandishi marefu: ya chini kwa mbele, ya juu kwa nyuma. Ila ya kwanza yamekosea: ni "naandika" si "naandike". Asante, Kipala! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:28, 7 Februari 2015 (UTC)
Ninakubaliana na Riccardo kuhusu maandishi. Kuhusu rangi ninapendelea kitambaa cheupe na maandishi meusi. ChriKo (majadiliano) 11:53, 8 Februari 2015 (UTC)
Nawaunga mkono: ya chini kwa mbele, ya juu kwa nyuma. Kuhusu rangi napendelea kuvaa nyeusi, yaani maandishi meupe. Je, lazima tuchague rangi moja tu, au inawezekana kupata idadi kadhaa kuwa nyeupe na idadi kadhaa nyeusi? --Baba Tabita (majadiliano) 17:22, 8 Februari 2015 (UTC)
Haya juu ya maandishi tunakubaliana. kuhusu rangi naunga mkono na Baba Tabita lakini si kitu sana. Naona Ricccardo aseme maana anajua watu wake. Saizi ziwe tofauti, nadhani, XXXL pamoja na ndogo zaidi. Swali kwa Riccardo: uliniandikia ya kwamba unajua mahali pale Dar wanapotengeneza Tshirt. Je unafikiri ya kwamba unaweza kuagiza huko? Wanahitaji nini? Kipala (majadiliano) 19:13, 8 Februari 2015 (UTC)
Leo hii rafiki yangu anakwenda Dar kutengeneza tisheti 400 zenye maandishi ya shule kwa ajili ya wanafunzi kwa Tsh. 5,000 kila moja. Kwa kitambaa bora zaidi ni TSh. 6,500. Kwa nakala chache, sijui. Amani kwenu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:16, 9 Februari 2015 (UTC)
Nakubali kuagiza hizi tisheti kwa gharama ya dola 150. Nitaagiza rangi mbalimbali: au siyo? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:57, 13 Februari 2015 (UTC)
Asante sana. Agiza tu rangi unazopendelea. Kipala (majadiliano) 20:02, 15 Februari 2015 (UTC)

[Global proposal] m.Wikipedia.org: (vyote) Kuhariri kurasa

MediaWiki mobile

Hi, this message is to let you know that, on domains like sw.m.wikipedia.org, unregistered users cannot edit. At the Wikimedia Forum, where global configuration changes are normally discussed, a few dozens users propose to restore normal editing permissions on all mobile sites. Please read and comment!

Thanks and sorry for writing in English, Nemo 22:32, 1 Machi 2015 (UTC)

New Wikipedia Library Accounts Available Now (March 2015)

Apologies for writing in English, please help translate this into your local language. Hello Wikimedians!

The TWL OWL says sign up today!

The Wikipedia Library is announcing signups today for, free, full-access accounts to published research as part of our Publisher Donation Program. You can sign up for new accounts and research materials from:

Many other partnerships with accounts available are listed on our partners page. Do better research and help expand the use of high quality references across Wikipedia projects: sign up today!
--The Wikipedia Library Team 21:14, 2 Machi 2015 (UTC)

Help us coordinate Wikipedia Library's distribution of accounts, communication of access opportunities and more! Please join our team at our new coordinator page.
This message was delivered via the Global Mass Message tool to The Wikipedia Library Global Delivery List.

Inspire Campaign: Improving diversity, improving content

This March, we’re organizing an Inspire Campaign to encourage and support new ideas for improving gender diversity on Wikimedia projects. Less than 20% of Wikimedia contributors are women, and many important topics are still missing in our content. We invite all Wikimedians to participate. If you have an idea that could help address this problem, please get involved today! The campaign runs until March 31.

All proposals are welcome - research projects, technical solutions, community organizing and outreach initiatives, or something completely new! Funding is available from the Wikimedia Foundation for projects that need financial support. Constructive, positive feedback on ideas is appreciated, and collaboration is encouraged - your skills and experience may help bring someone else’s project to life. Join us at the Inspire Campaign and help this project better represent the world’s knowledge!

(Sorry for the English - please translate this message!) MediaWiki message delivery (majadiliano) 20:01, 4 Machi 2015 (UTC)

Badiliko: Makala mapya yataanzishwa na wachangiaji waliojiandikisha pekee

Wikimedia wamekubali ombi letu (ling. Wikipedia:Jumuia#Kura_juu_ya_utaratibu_wa_kuanzisha_makala_mapya_.28.22Community_request_to_disable_article_page_creation_by_anonymous.2FIP_editors.22_.29) kwa muda wa miezi 6. Kipala (majadiliano) 21:43, 12 Machi 2015 (UTC)

SUL finalization update

Hi all,apologies for writing in English, please read this page for important information and an update involving SUL finalization, scheduled to take place in one month. Thanks. Keegan (WMF) (talk) 19:45, 13 Machi 2015 (UTC)

Takwimu za makala za wikipedia: njia ya panya ipo!

Wapendwa tulisikitika ya kwamba ukurasa wa http://tools.wmflabs.org/wikiviewstats/ ulioturuhusu kuona makala gani inatazamiwa mara ngapi kwa siku haufanyi kazi tena. Kuna ukurasa mwingine ni stats.grok.se lakini huu hauonyeshi chaguo la Kiswahili. ILA TU inawezekana kupata matokeo kwa kuifungua kwa -tuseme- Kiingereza, halafu kubadilisha kifupi cha "en" kwa "sw" tayari tunapata majibu! naweza kuandika jina la ukurasa wowote wa kwetu LAKINI unahitaji kuandika katika mstari wa anwani pekee. Kwa mfano: http://stats.grok.se/sw/201503/Mirihi Kipala (majadiliano) 22:05, 25 Machi 2015 (UTC)