Majadiliano ya mtumiaji:Muddyb Blast Producer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Karibu Katika Ukurasa wa Majadiliano!

Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-2 This user is able to contribute with an intermediate level of English.



Yaliyomo

Ndugu Muddy, karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Kuna kazi nyingi. Naomba uangalie makala ya "Msaada wa kuanzisha makala" (utaipata pia kwa kubonyeza "msaada" hapo upande wa kushoto). Ukiwa na swali lolote uliza tu. Wakati huu ni hasa Oliver, Ndesanjo pamoja nami walio tayari kusaidia. --Kipala 17:17, 24 Agosti 2007 (UTC)

Kando

umeniandikia juu ya huyu bwana kutoka Italia (?). Kweli anatumia mashine - kuna watu mbwalimbali walioanza hivi baadaye wakaweza kuchangia angalau mbegu. Kwa hiyo tuone. Nina hamu kufika TZ tena tupate kusalimiana lakini kwa sasa nabanwa hapa kwa akina ayatollah. 18:50, 11 Septemba 2011 (UTC)

Ala, kumbe! Naona siku hizi mambo yamebadilika! Eh, Kipala, kweli siku zimepita! Kumbukumbu yangu inaniambia tulionana 2008! Una-karibishwa bwana!!!--MwanaharakatiLonga 12:26, 12 Septemba 2011 (UTC)

Vigezo vya Kiingereza vya Rich Farmbrough

Muddy naomba uangalie mabadiliko ya leo; mtumiaji Rich Farmbough aliingiza mamia ya vigezo kutoka en:wikipedia. Nilichungulia kidogo tu ninachoona hakuna kilichotafsiriwa. Sijui wewe unaonaje? Vinasaidia au ni spam? Kipala (majadiliano) 11:37, 16 Septemba 2011 (UTC)

Salaam, Mzee Kipala. Nimeona na nimethubutu hata kutafsiri baadhi ya vigezo vile. LAKINI juhudi zinagonga mwamba kwa sababu yeye anaingiza vigezo kumi kwa dakika, wakati mimi ninaweza kutafsiri viwili kwa dakika kumi. Sio SPAM. Lakini bado kazi ni kubwa ya kutasiri vigezo vile. Labda nijaribu katika siku mbili. Leo nikirudi nyumbani na kisha asubuhi yake tena. Tusimvunje moyo kwanza. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 15:19, 16 Septemba 2011 (UTC)
Muddy naona tunahitaji majadiliano. Ona mfano huko ukurasa Richard. Analeta hizi emplates nyingi - sijui meelewa anafuata utaratibu gani? Maana katika en:wiki wana vigezo maelfu lakini mimi si sivitaki vyote. Mfano huu kigezo "miji" (settlements) imefanya vema kwa ajili ya nchi nyingi. Akileta sasa vigezo hivi vilivyundwa kipekee kwa kila nchi tutashindwa kuvitumia. Maana huko en:wiki una watu wanaoangalia hasa miji ya nchi moja au hata kundi linalofuata miji ya nchi moja. Sisi hatutaweza kuifanya kamwe. Wiki ndogo havitumii vingi hivi. Na kama tunaingiza vigezo hivi tutashindwa kufuata mabadiliko wakivibadilisha maana Richard simtegemei atakuwepo tena baada ya mwaka 1. Tunahitaji utaratibu fulani. Binafsi nngependelea kutumia mfano tuseme wa simple. Unaonaje? Kipala (majadiliano) 15:35, 28 Septemba 2011 (UTC)
Hmm, nimeona kasheshe. Kweli hatuna uwezo wa kutumia vigezo vyote vile. Je, tumshauri?--MwanaharakatiLonga 04:11, 29 Septemba 2011 (UTC)

Kushoto ofisi

Muddy naombe upime Kiswahili chako! Unajua ya kwamba naweza kufoka kabisa juu ya tafsiri ya google - sasa nimekuta makala nikashindwa kusikitika nikacheka tu sikuweza kuisahihisha. Unajua "Kushoto ofisi" ni nini? Kama hujui - aibu yako! Soma "Rais wa Afrika ya Kusini#Orodha ya Marais wa Afrika ya Kusini (1961-hadi leo)" na angalia jedwali. Kipala (majadiliano) 20:13, 29 Oktoba 2011 (UTC)

Tafsiri zingine ni za kulia! Hata mimi nimecheka sana na kushindwa kuisahihisha. Asante, mzee wangu, kwa kutushirikishia kirai hicho! Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 15:04, 4 Novemba 2011 (UTC)

Hongera

Salaam, Ndugu Muddyb. Inaonekana umepata mada ya kuongeza makala nyingi wewe mwenyewe, yaani wabunge Watanzania. Pamoja tusonge mbele! Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:41, 4 Novemba 2011 (UTC)

Enhee, O-S. Hilo ndilo lengo hasa! Nitakuwa naziongeza kila siku jioni! Nikipata japo makala nne au tano kwa siku - zinanitosha! Ikitokea zaidi hapo, basi inakuwa vyema zaidi!!!!--MwanaharakatiLonga 11:54, 4 Novemba 2011 (UTC)

Hajj

Naomba msaada wako kuhusu neno sahihi kwa watu wanaofanya hajj - hi hujaji, mhaji, haji, alhaji au al-haaj - nini kawaida??? Kipala (majadiliano) 20:31, 10 Novemba 2011 (UTC)

Mzee Kipala, salam. Hujaji ni yule anayeenda Makka kuhiji, yaani, ndiyo kwanza anaanza safari ya kwenda. Akirudi kuhiji anakuwa alhaji! Kuhusu safari inaitwa: hija!--MwanaharakatiLonga 16:16, 11 Novemba 2011 (UTC)

Stubs

Jambo Muddy!

I have created about a dozen stubs, such as George Boniface Simbachawene, copying one of yours, can you have a look and let me know if there are any problems with them? Rich Farmbrough , 23:21, 11 Novemba 2011 (UTC).

Ah! You fixed the "Arusha", thanks. I'll skip the location for the rest. Rich Farmbrough , 20:50, 12 Novemba 2011 (UTC).

Could you look at this stub: Sofiyivskyi Raion, and correct the language for me? The templates need translateing, but that's not urgent. Don't worry about the Infobox, I'll fix that up later. Rich Farmbrough , 01:49, 15 Novemba 2011 (UTC).

Yes check.svg Imefanyika. As requested! Cheers!!!--MwanaharakatiLonga 07:49, 15 Novemba 2011 (UTC)

Vincent Kigosi

Mambo, rafiki! I created this stub, but it is very pitiful. It is very hard to find reliable information even on one of Tanzania's most famous actors. Could you try to expand it a little? Jon Harald Søby (majadiliano) 16:48, 10 Desemba 2011 (UTC)

Checked it. Can't help it either! The availabilities of finding the reliable source is very hard for Tanzanian actors. We do not have a routine to write some bios for the actors. Before there was some websites which provide some useful information on them, but now it;s turned into celebrities tabloid which lost its useful information. I meant the site now it behaves like a blog - not a website anymore. Pity! BTW, will try to check somewhere else (slowly!)--MwanaharakatiLonga 17:23, 12 Desemba 2011 (UTC)

Muda sanifu wa dunia

Muddy naomba usome kama inaeleweka kwa jumla hasa kama nimetumia maneno saa - masaa - muda - wakati jinsi inavyotakiwa. Kipala (majadiliano) 08:10, 18 Desemba 2011 (UTC)

Biological diversity

Muddyb salaam. Natumaini kwamba umeshinda Krismasi nzuri. Tafadhali nahitaji msaada wako ili kupata tafsiri muafaka ya "biological diversity". Unaweza kunisaidia? Asante. ChriKo (majadiliano) 09:18, 27 Desemba 2011 (UTC)

Makala za lugha na mabano yake

Ndugu Muddyb, sasa tu nimeona kuwa katika wikipedia ya Kiingereza wanakataa mabano yasiyo lazima. Ndiyo sababu nimeanza kuyaondoa tena. Ila nimeanza pia kuweka 'redirect'. Haya, tusonge mbele! Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 18:55, 8 Januari 2012 (UTC)

Hongera kwa mwamko wako! Hata mimi nilikuwa sipendi mabano yasiyo na lazima. Tuendelee!--MwanaharakatiLonga 06:10, 9 Januari 2012 (UTC)
Asante, ndugu, kwa msaada wako wa kuondoa hayo mabano! Tusonge mbele kwelikweli! --Baba Tabita (majadiliano) 11:54, 9 Januari 2012 (UTC)
Umeona eeh, umeona eeh! Basi tukomae nazo!--MwanaharakatiLonga 11:55, 9 Januari 2012 (UTC)
Nyongeza: Tuwe waangalifu lakini. Makala chache lazime tuunde makala ya kutofautisha maana nilivyofanya kwa Kindai au Kito. Tena mengine, kuna lugha zaidi ya moja yenye jina lilelile, k.m. Kimbo. Haya, tuendelee! --Baba Tabita (majadiliano) 12:09, 9 Januari 2012 (UTC)
Mh, nadhani hili sijalitambua hapo awali. Ninadhani nitakuwa makini zaidi hapo baadaye. Ahsante kwa taarifa.--MwanaharakatiLonga 18:25, 9 Januari 2012 (UTC)

Grammar

I'm sorry... what's the correct sentence ? Is it "Mkoa wa Zanzan ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire" or "Mkoa wa Zanzan ni moja kati ya mikoa 19 nchini Cote d'Ivoire". Thanks for your help. --Zenman (majadiliano) 19:21, 21 Januari 2012 (UTC)

Pictures on Africa Portal

Hi, I would like to propose these pictures for 2002 on the Africa portal ... if you agree with and help me to correct mistakes... Thanks. --Zenman (majadiliano) 13:49, 31 Januari 2012 (UTC)

Yes check.svg Imefanyika. You can proceed now!!!--MwanaharakatiLonga 15:31, 31 Januari 2012 (UTC)

Asante sana! --Zenman [Majadiliano] 14:36, 1 Februari 2012 (UTC)

Moving Forward

Subalkheri !

Following this discussion with you, here's my... "list"!

But first of all, I would like to thank you very much for your warm welcome and your constant support, despite my "linguistic handicap".

  1. About the Côte d’Ivoire Project, I think I will able to write, almost all articles on the Orodha listed on the project page.
  2. However, it seems - for now - impossible for me, to write the key articles (Elimu nchini Cote d'Ivoire (en), Historia ya Cote d'Ivoire (en), Utamaduni wa Cote d'Ivoire (en), Jiografia ya Cote d'Ivoire (en), Siasa ya Cote d'Ivoire (en), Uchumi wa Cote d'Ivoire (en), Usafiri wa Cote d'Ivoire...) If you can help write a few on them, we could have good coverage of this country and we might even create their portal…
  3. A page of Orodha creates numerous (too many) red links. I want to work on them. But I would need some templates of stubs. As we did with the wilaya and Mikoa.
  4. In general, I started working on the Côte d’Ivoire project and I wish continue on other countries of West Africa. But, please, consider this, not as a prison but rather as a starting option, so feel free to point me to the work that you think are most useful for the encyclopedia. If I can help, I will.

Kwa heri ya kuonana ! --Zenman [Majadiliano] 11:27, 12 Februari 2012 (UTC)

Well, that's awesome. I will create those articles for you. What if I've create them in a stub way? At least 1,000 words, what do you think?--MwanaharakatiLonga 19:37, 13 Februari 2012 (UTC)
Ok,that's fine. thanks a lot!--Zenman [Majadiliano] 04:22, 14 Februari 2012 (UTC)
Vifaa binafsi
Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa