Aprili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Mwezi wa Aprili ni mwezi wa nne katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na neno la Kilatini aperire, maana yake ni "kuchanua". Inafikiriwa kwamba linahusu majira ya kuchanua kwa maua.

Aprili ina siku 30, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Julai; na katika mwaka mrefu (wenye siku 366), siku yake ya kwanza pia ni sawa na mwezi wa Januari.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: