28 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1758 - James Monroe, Rais wa Marekani (1817-1825)
- 1838 - Tobias Asser (mwanasheria Mholanzi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911)
- 1941 - Barry Sharpless, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
Waliofariki [hariri]
- 1841 - Mtakatifu Peter Chanel, padre Mkatoliki na mfiadini kutoka Ufaransa
- 1945 - Benito Mussolini (kiongozi wa Italia) anauawa na wanamgambo Waitalia wakomunisti.
- 1954 - Leon Jouhaux (kiongozi Mfaransa wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1951)
- 1999 - Arthur Schawlow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981)