1941
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | ►
◄◄ | ◄ | 1937 | 1938 | 1939 | 1940 | 1941 | 1942 | 1943 | 1944 | 1945 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1941 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1941 MCMXLI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5701 – 5702 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1933 – 1934 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1390 ԹՎ ՌՅՂ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1360 – 1361 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1319 – 1320 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1996 – 1997 |
| - Shaka Samvat | 1863 – 1864 |
| - Kali Yuga | 5042 – 5043 |
| Kalenda ya Kichina | 4637 – 4638 庚辰 – 辛巳 |
- 1 Januari - Evaristo Marc Chengula, askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya, Tanzania
- 7 Januari - John Walker, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 28 Januari - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 29 Machi - Joseph Taylor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1993)
- 13 Aprili - Michael Brown (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1985)
- 28 Aprili - Barry Sharpless, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 24 Mei - Bob Dylan, mwanamuziki wa Marekani
- 12 Juni - Chick Corea, mwanamuziki kutoka Marekani
- 26 Juni - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 17 Agosti - Ibrahim Babangida, Rais wa Nigeria (1985-1993)
- 4 Oktoba - Anne Rice, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 13 Oktoba - Paul Simon (mwanamuziki)
- 23 Novemba - Franco Nero, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 19 Desemba - Lee Myung-Bak, Rais wa Korea Kusini (tangu 2008)
Waliofariki [hariri]
- 4 Januari - Henri Bergson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1927)
- 13 Januari - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire
- 21 Februari - Frederick Banting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923)
- 5 Machi - Ludwig Quidde (mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927)
- 7 Agosti - Rabindranath Tagore (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1913)
- 14 Agosti - Maximilian Kolbe, padre mtakatifu kutoka Poland
- 14 Agosti - Paul Sabatier (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912)
- 12 Septemba - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)
- 18 Novemba - Walther Nernst (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: