16 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1844 - Anatole France, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921
- 1863 - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1889 - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 1889 - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 1927 - Papa Benedikto XVI, Papa wa Kanisa Katoliki na mwanateolojia kutoka Ujerumani
- 1977 - Alek Wek, mrembo kutoka Sudan
Waliofariki [hariri]
- 1972 - Yasunari Kawabata (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968)