14 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1498 - Vasco da Gama anafikia mji wa Malindi katika safari yake kutoka Ureno kwenda Uhindi.
Waliozaliwa [hariri]
- 1741 - Momozono, Mfalme Mkuu wa 116 wa Japani (1747-1762)
- 1927 - Alan MacDiarmid, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- [(1990)] - [vitus lukebo], mwandishi wa habari nchini tanzania
Waliofariki [hariri]
- 911 - Papa Sergio III
- 1950 - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda, alijiua