1950
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1946 | 1947 | 1948 | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | 1954 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1950 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1950 MCML |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5710 – 5711 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1942 – 1943 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1399 ԹՎ ՌՅՂԹ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1370 – 1371 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1328 – 1329 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2005 – 2006 |
| - Shaka Samvat | 1872 – 1873 |
| - Kali Yuga | 5051 – 5052 |
| Kalenda ya Kichina | 4646 – 4647 己丑 – 庚寅 |
Waliozaliwa [hariri]
- 1 Januari - Mudhihir Mohamed Mudhihir, mwanasiasa wa Tanzania
- 15 Januari - Anna Valerian Komu, mwanasiasa wa Tanzania
- 12 Februari - George Malima Lubeleje, mwanasiasa wa Tanzania
- 5 Aprili - Agnetha Fältskog, mwanabendi wa ABBA na mwanamuziki kutoka Uswidi
- 16 Mei - Johannes Bednorz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1987
- 29 Mei - Frederick Sumaye, Waziri Mkuu wa 9 wa Tanzania
- 9 Septemba - Zubain Muhaji Mhita, mwanasiasa wa Tanzania
- 7 Oktoba - Jakaya Kikwete (Rais wa awamo ya nne wa Tanzania)
- 14 Oktoba - John Zefania Chiligati, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Ardhi (2005-2010)
- 1 Novemba - Robert Laughlin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 28 Novemba - Russell Hulse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1993)
bila tarehe
- Christopher Mtikila, mwanasiasa kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 21 Januari - George Orwell
- 25 Februari - George Minot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 19 Machi - Norman Haworth (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1937)
- 19 Machi - Edgar Rice Burroughs
- 14 Aprili - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda, alijiua
- 8 Julai - Siti Binti Saad (mwanamuziki Mtanzania)
- 17 Julai - Evangeline Booth
- 18 Julai – Carl Van Doren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 23 Agosti - Frank Phillips
- 11 Septemba - Jan Christian Smuts
- 29 Oktoba - Mfalme Gustaf V wa Sweden
- 2 Novemba - George Bernard Shaw (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1925)
- 25 Novemba - Johannes Vilhelm Jensen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1944)
- 12 Desemba - Peter Fraser
Wikimedia Commons ina media kuhusu: