9 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 214 - Aurelian, Kaisari wa Dola la Roma
- 384 - Honorius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (395-423)
- 1922 - Hans Georg Dehmelt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1923 - Carleton Gajdusek (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1976)
- 1950 - Zubain Muhaji Mhita, mwanasiasa wa Tanzania
- 1983 - Kristine Hermosa, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki [hariri]
- 1901 - Henri de Toulouse-Lautrec, mchoraji wa Ufaransa
- 1985 - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974